New Music: Vanessa Mdee & Jux – Juu

0

Vanessa Mdeena Juma Jux wanaikata kiu yako uliyoitunza kwa muda mrefu ya wao kuachia ngoma pamoja. Ngoma hii ambayo inasemekana itabamba mawimbi ya radio na mashabiki inakwenda kwa jina la “Juu” na imeachiwa kwa mara ya kwanza hii leo Mkitoni ikipitia mikono yaLufa- Switch Records.