New Music: Tilion Slim ft Haule – Nipende

0

Msanii Tilion Slim ameachia wimbo wake mpya ‘Nipende’ akiwa amemshirikisha Haule. Wimbo umetengenezwa na producer Bonge Jr. Sikiliza hapa na utoe maoni yako.