New Music: Ticky ft. Achily – Yatambe

0

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Ticky, wimbo unaitwa “Yatambe” akiwa amemshirikisha Achily. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu na producer Lummie na Buju.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.