New Music: Tash The Prince – Ushaniwasha

0

Msanii wa muziki wa kizazi Tash the Prince ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Ushaniwasha”. Wimbo umetayarishwa na producer Homas kutoka studio za RockNation Sound.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.