New Music: T.I.P ft. Haule – One In A Million

0

Kutokea katika uongozi wa Goodfather, Msanii wa muziki T.I.P ameachia wimbo wake mpya “One In A Million” akiwa amemshirikisha Haule. Wimbo umetayarishwa katika studio za Minane Records chini ya producer Bonge Jr.