New Music: T.I.P King – Last Kush

1

Wimbo mpya kutoka kwa rapa T.I.P King unaitwa “Last Kush”. Na kama bado hujaiona video yake bonyeza hapa. Wimbo umetayarishwa na producer Yosia katika studio za Mi8 records.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako