New Music: I.T – Bado Navumilia

0

Msanii wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar Iddy Thabit au I.T, ameachia wimbo wake mpya ‘Bado Navumilia’ baada ya kukaa kimya muda mrefu. Wimbo umetengenezwa katika studio za Saigon Record na Producer Katuli.

Sikiliza Hapa wimbo huo na usisahau kuacha Comment kwani I.T atafurahi sana akiona maoni yako.

http://www.audiomack.com/song/zenji255/bado-navumilia