New Music: Sultan King ft. Msafiri Dioff – Fire Fire

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Sultan King ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Fire Fire’ akiwa amemshirikisha mwanamuziki nguli Msafiri dioff. Wimbo umetayarishwa na producer Aloneym.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.