New Music: Stamina ft. Shorwe Bwenzi – Mmeniroga

0

Wimbo mpya kutoka kwa Stamina akiwa amemshirikisha Shorwe Bwenzi ‘Mmeniroga’. Wimbo umetengenezwa katika studio za Kiri Records na Producer Rash Don na Vennty Skillz.