New Music: Siti & The Band – Nielewe

0

Wimbo mpya kutoka kwa kikundi cha muziki cha Siti and the Band chenye makao yake visiwani Zanzibar, wimbo unaitwa “Nielewe”. Wimbo umetayarishwa na producer Mboks wa Wanene Studios.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.