New Music: Siti & The Band – Ogende

0

‘Ogende’ ina maana ya ‘Nenda’ ambao ni wimbo mpya kutoka kwa kundi jipya la Siti & The Band kutokea visiwani Zanzibar. Wimbo umetayarishwa katika studio za Wanene Studios.

Sikiliza hapa