New Music: Sharo Music & Triple M – Zaidi

0

Wimbo mpya kutoka kwa wasanii wa muziki nkutokea visiwani Zanzibar, Sharo Music na Triple M unaitwa “Zaidi”. Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr. katika studio za Island Records.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.