New Music: Sharo Music ft. Honey Ella – Safarini

0

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Sharo Music unaitwa ‘Safarini’ akiwa amemshirikisha Honey Ella. Wimbo umetayarishwa katika studio za Waiz Empire na producer Bonge jr.

Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako.