New Music: Sharo Music – Bado

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Sharo Music ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Bado”. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na producer Lummie na Buju.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.