New Music: Sharo Music – Bachela

0

Baada ya kuachia wimbo wa Nana, Sharo Music ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Bachela’ ambao umetayarishwa katika studio za Waiz Empire na producer Bonge Jr.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako