New Music: Saydon – Bado

0

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Saydon, wimbo unaitwa “Bado”. Wimbo umetayarishwa na producer Chidy Master kutoka studio za Mauzo Records.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.