New Music: Sarafina Masangula – Nashindwa

0

Mwanadada Sarafina anayefanya shuhuli zake za muziki visiwani Zanzibar ameachia wimbo wake mpya ‘Nashindwa’. Wimbo umetengenezwa katika studio za Mandevu records na Producer Buju na Lummie.

http://www.audiomack.com/song/zenji255/nashindwa