New Music: Saidon – Ninakukosti

0

Msanii wa muziki Saidon anaufunga mwaka kwa kuachia wimbo wake mpya ‘Ninakukosti’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Tifu Records na producer Tifu Master.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako