New Music: Roma ft. Walter Chilambo – Mtoto wa Kigogo

0
roma

Roma amerejea na ngoma mpya ‘Mtoto wa Kigogo’ aliyomshirikisha Walter Chilambo. Ni wimbo wake maalum kwa ajili ya mpenzi wake anayetarajia kufunga naye ndoa hivi karibuni.