New Music: Rico Single – Yani Raha

0

Rapa kutoka visiwani Zanzibar ‘Rico Single’ ameachia wimbo mpya ‘Yani Raha’. Wimbo umetengenezwa katika studio za Island Records chini ya producer ‘Aloneym.

Sikiliza ‘Exclusive’ ya wimbo huo na usisahau kuwa Rico single anahitaji maoni yako unaweza ukamuandikia kwa chini hapo.