New Music: Rayna ft. Haule – Be Serious

0

Mwanadada Rayna ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Be Serious’ akiwa amemshirikisha Haule. Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr. kutokea studio za Waiz Empire.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.