New Music: Public ft. Paul Mavoice – Wanabana

0

Msanii wa muziki Public amechia wimbo wake mpya unaitwa “Wanabana” akiwa amemshirikisha Paul Mavoice. Wimbo umetayarishwa na producer Negro.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.