New Music: Pozza Boy ft. Dayna Nyange – Sweet Love

0

Wimbo mpya kutoka kwa rapa anaeunda kundi la Zee Town Sojaz, Pozza Boy unaitwa ‘Sweet Love’ akiwa amemshirikisha Dayna Nyange. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island Records na producer Aloneym.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.