New Music: Pozi Adim – Sawaa

0

Msanii wa muziki kutoka visiwani Zanzibar, Pozi Adim ameachia wimbo wake mpya ‘Sawaa’. Wimbo umetayarishwa na producer Aloneym katika studio ya Island Records

Bonyeza Play kwa kusikiliza wimbo huo.