New Music: One in My City – Mzoularr

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar, Mzoularr ameachia wimbo wake mpya unaitwa “One In My City”. Wimbo umetayarishwa katika studio za Stone Town Records na producer DJ Walid.

Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako.