New Music: New Money ft. Shirko & Berry Black – Mr. Camera Man

0

Wimbo mpya kutoka kwa New Money unaitwa “Mr. Camera Man” akiwa amemshirikisha Shirko na Berry Black. Wimbo umetayarishwa katika studio za Vibes Records na producer Shirko.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako