New Music: Nay P – Nishafika

0

Msanii wa kike kutokea visiwani Zanzibar Nay P ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Nishafika’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island Records na producer Bunny Music.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako