New Music: Nassir Vanillah ft. Fraga – Usibadilike

0

Nassir Vanillah ameachia wimbo mpya unaitwa “Usibadilike” akiwa amemshirikisha mtayarishaji wa muziki wa wimbo huo Fraga katika studio za Fraga Recipe.

Sikiliza hapo chini wimbo huo na utoe maoni yako.