New Music: Mzoularr – Hot N*gga

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mzoularr ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Hot Nigga’. Wimbo umetayarishwa na DJ Walid kutoka Stone Town Records.

Sikiliza wimbo huo hapo chini na utoe maoni yako.