New Music: Mzoularr – Dab Out

0

Rapa kutoka lebo ya Stone Town Records, Mzoularr ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Dab Out’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Stone Town Records chini ya producer DJ Walid.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.