New Music: Mutic – Cool

0

Muziki mpya kutoka vijana wawili wanaounda kundi linaloitwa Mutic na wimbo wao unaitwa “Cool”. Wimbo umetayarishwa na producer Baluz Beatz.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.