New Music: Muslee ft. Hemedy Music – Chaunabe

0

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya anaitwa Muslee, wimbo unaitwa “Chaunabe” akiwa amemshirikisha Hemedy Music. Wimbo umetayarishwa katika studio za Action Music na producer Chilly K.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.