New Music: Marafiki Bongo – Pamela

0

Kundi la Marafiki Bongo linafungua mwaka na wimbo mpya unaitwa ‘Pamela’. Wimbo umetayarishwa kutokea studio za Waiz Empire na producer Aloneym.

Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako.