New Music: Marafiki Bongo – Mgogoro

0

Kundi la muziki wa kizazi kipya Marafiki Bongo linatambulisha wimbo wao mpya unaitwa “Mgogoro”. Wimbo umetayarishwa na producer Aloneym katika studio za Waiz Empire.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.