New Music: Man Salu ft. Mwangaza – Nipe Kidogo

0
salu

wimbo mpya wa msanii Man Salu akiwa amemshirikisha Mwangaza unaitwa “Nipe Kidogo” umetengenezwa katika studio za Shine Records chini ya producer Chidy Touch.

http://www.audiomack.com/song/zenji255/nipe-kidogo