New Music: Man Chado ft. Juma Nature – Kwa Ajili ya Wana

0

Rapa aliyekuwa akiunda kundi la Murder Squad, Man Chado ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Kwa Ajili ya Wana’ akiwa amemshirikisha Juma Nature. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na Producer Lummie na Buju.

Sikiliza hapa