New Music: Makalasinga ft. Mantuzzo – Nasaka Demu

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea kisiwani Pemba, Makalasinga ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Nasaka Demu” akiwa amemshirikisha Mantuzzo. Wimbo umetayarishwa katika studio za Action Music na producer Chilly K.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.