New Music: Lucky Cray – Kamata

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Lucky Cray ameachia wimbo wake mpya unaoitwa “Kamata”. Wimbo umetayarishwa na producer Fleva Noma.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.