New Music: Lightness – Sina Raha

0

Mwanadada Lightness ameachia wimbo wake unaoitwa ‘Sina Raha’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Action Music chini ya producer Chilly K.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.