New Music: Lightness & Mabawa – Kupokonywa Penzi

0

Wasanii wa muziki wamekaa pamoja na kuachia wimbo mpya unaitwa “Kupokonywa Penzi”. Sikiliza wimbo huu mpya kutoka kwa Lightness na Mabawa. Wimbo umetayarishwa na producer Flavour Noma kutoka studio za Smart Music.