New Music: Lavija ft. Thomas – Sing’oki

0

Mwanamuziki wa kike kutokea visiwani Lavija ameachia wimbo wake mpya unaoitwa “Sing’oki” akiwa amemshirikisha Thomas. Wimbo umetayarishwa katika studio za Rams Music na producer Ramso Boy.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.