New Music: Laki ft. Kijukuu – Hisia

0

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Laki wa Promise akiwa amemshirikisha Kijukuu. Wimbo unaendwa kwa jina la “Hisia” umetayarishwa na producer Aloneym katika studio za Island Records.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.