New Music: Labocxy ft. Chidy Shortcut – Go Down

0

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea katika lebo ya Jupiter Record, Labocxy ameachia wimbo unaitwa “Go Down” akiwa amemshirikisha Chidy Shortcut. Wimbo umetayarishwa na producer Bonge Jr.

Sikiliza wimbo huo na toe maoni yako.