Categories
Music

New Music: Kinde Makengele – Ukweli Wangu

Mwanamuziki Kinde Makengele ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Ukweli Wangu’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mandevu Records na Producer Buju na Lummie.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.