New Music: Kinde Makengele – Sikujua

0

Mwanamuziki Kinde Makengele ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Sikujua”. Wimbo umetayarishwa katika studio za Jupiter Records na producer Bonge Jr.

Sikiliza wimbo huo hapo chini na utoe maoni yako.