New Music: Kinde Makengele ft. Ommy Minor – Chakupewa

0

Kinde Makengele au huitwa ‘mzee wa nzoko nzoko’ ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Chakupewa’ akiwa amemshirikisha Ommy Minor. Wimbo umetengezwa katika Studio za Mandevu records na producer Buju na Lummie.

http://www.audiomack.com/song/zenji255/chakupewa