New Music: Jumaa Town – Kama Noma

0

Mpambe Jumaa Town anayefanya kazi zake za muziki visiwani Zanzibar ameachia wimbo wake mpya ‘Kama Noma’ wenye miondoko ya singeli. Wimbo umetengenezwa na Producer KGT katika studio za G Records.