New Music: Jakaya ft. Halikuniki – Mapenzi Shikamoo

0

Msanii wa muziki kutoka visiwani, Jakaya ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Mapenzi Shikamoo” akiwa amemshirikisha muigizaji maarufu Mzee Halikuniki. Wimbo umetayarishwa kutoka studio za Mkito Records.

Sikiliza wimbo huo hapo chini na utoe maoni yako.