New Music: Ison Mistari – Nani Nilimkosea

0

Rapa Ison Mistari baada ya kufanya vizuri na Kama Ngosha sasa ameachia wimbo wake mpya ‘Nani Nilimkosea’ akiwa chini ya lebo mpya ya Stone Town Records. Wimbo umetayarishwa na DJ Walid.

Sikiliza ujio wake mpya na utoe maoni yako hapo chini.