New Music: Hood C ft. Fredrigo – Tuwe Mfano

0

Rapa Hood C ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Tuwe Mfano’ akiwa amemshirikisha Fredrigo. Wimbo umetayarishwa katika studio za Stone Town Records.

Sikiliza Hapa na utoe maoni yako.